in

ORIGINAL KOMEDI NDANI YA PSPF, LENGO NI KUJIONEA UBORA WA HUDUMA ZA MFUKO HUO

Wasanii wanaounda kundi la Original Komedi wakipata maelezo kutoka kwa Bw. Lonick Nkinda, Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF juu ya huduma zinazotolewa na Mfuko huo, wasanii hao walitembelea Makao Makuu ya PSPF ili kujionea utendaji wa Mfuko huo.
 Wasanii wa kundi la Original Komedi wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF pamoja na watendaji wengine wa Mfuko huo baada ya kufanya ziara ya siku moja kujionea utendaji wa Mfuko huo.

 Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa wasanii wa kundi la Original Komedi baada ya kutembelea miradi mbalimbali ya Mfuko, pichani wasanii hao wakiwa katika jengo jipya la PSPF lililopo katika Barabara ya Sokoine jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu (kulia) akiongea wasanii wa kikundi cha Original Komedi walipotembelea Makao Makuu ya PSPF kwa ajili ya kujionea ubora wa huduma zinazotolewa na Mfuko huo

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading…

0

‘De Gea awakubalia Real Madrid’

PSPF YAZINDUA HUDUMA YA WANACHAMA WAKE KUWASILISHA MICHANGO KUPITIA MAXMALIPO