Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,Vijana na Michezo, Juma Nkamia, (wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (wapili kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa Maxcom Africa, Juma Rajabu, wakizindua huduma mpya ya wanachama wa Mfuko huo
Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ofisi za makao makuu wa PSPF, Golden Jubilee, katikati ya jiji leo Alhamisi Aprili 16, 2015. Kulia ni Mkurugenzi Mtendajiwa Glob al Publisher, Erick Shigongo, ambaye ndiye aliyebuni na kushawishi PSPF kutumia huduma hiyo kurahisishia
I have been involved with sports in Tanzania as a Volleyball Coach for many years—and was a Tanzania Amateur Volleyball Association (TAVA) leader. I studied sports management at Leipzig University in Germany and understand the science behind sports. That led me to work as a football pundit, with the BBC ( Swahili service) in London. That experience and exposure took me to covering the 2010, World Cup in South Africa. This provided me with a great insight into international level football commentary and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics.I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany, Italy, Belgium, Ireland, France, Kenya etc, and visited almost all of the key football stadiums across United Kingdom, and Europe.
Comments
Loading…