in

PSPF BONANZA DODOMA

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Betty Mkwasa, (wapili kushoto), akimkabidhi kombe la ubingwa, nahodha wa timu ya chuo kikuu cha St. Johns cha mjini Dododma, Msanja Martin, baada ya kuibuka washindi wakwanza, kwenye bonanza la PSPF lililoandaliwa maalum kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufanyika uwanja wa Jamhuri mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu

Abdallah Shaaban (UDOM DIPLOMA)

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi jezi, kiongozi wa timu ya soka ya St. Johns, Masanja Martin, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.
King Juto, (Madini)

King Juto(Madini)
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi jezi, kiongozi wa timu ya soka ya Madini, King Juto, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.
Kennedy Kisinja(UDOM EAST)

Masanja Martine(ST.JOHNS)

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi jezi, kiongozi wa timu ya soka ya Udom East, Kennedy Kisinja, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.

Benedict John(CBE)

DSC_1497Benedict John(CBE-DOM)
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi jezi, kiongozi wa timu ya soka ya CBE, Benedict John, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.
Abdallah Shaaban_Udom_diploma
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi jezi, kiongozi wa timu ya soka ya UDOM Diploma, Abdallah Shaaban, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.

Sylivester Dominic_Udom West
Sylivester Dominic(UDOM WEST)

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kulia), akimkabiodhi jezi, kiongozi wa timu ya soka ya UDOM West, Sylivester Dominic, mwanzoni mwa Bonanzan lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Dodoma na kufabnyika uwanja wa Jamhuri, Ijumaa, Feb 20, 2015. Katika bonanza hilo, michezo mbalimbali, ikiwemo, soka, mpira wa pete, basketball, muziki wa kizazi kipya Bongo Flava na ule wa asili wa Mrisho Mpoto, ulihanikiza umati wa watu waliofurika kwenye uwanja huo.
Nasaha
Mkuuwa Wilaya ya Dodoma, Betty Mkwasa, (wapili kulia), akitoa nasaha zake kwa wachezaji wa timu za soka za vyuo vikuu vya UDOM na CBE wakati wa bonanza lililoandaliwa na PSPF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu Dodoma na kufanyika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Februari 20, 2015

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading…

0

Ronaldo ang’ara Real wakiwapiga Schalke

YANGA YAIBAMIZA MBEYA CITY.