in , , ,

CONTE ALIJIANGAMIZA MWENYEWE?

Kwanini nasema hivyo ?

Mechi ya kwanza alifungwa goli 3-2 na Burnely nyumbani kwake. Hiki
kitu ni kigumu sana kwa Chelsea kufungwa Stamford Brigde tena na timu
yenye kariba ya Burnely.

Mechi dhidi ya Arsenal ilionesha dhahiri ni jinsi gani ambavyo Conte
anapata shida dhidi ya timu ambazo zinamiliki mpira muda mrefu, na
mechi ya jana dhidi ya Manchester City ndiyo iliyokuja kudhihirisha
wazi kuwa mbinu za Conte dhidi ya timu zinazomiliki mpira muda mrefu
muda mwingine huwa zinamkaba.

Kumwanzisha César Azpilicueta na kuwaacha benchi kina Moses na
Zappacosta kulikuwa na maana kuwa Conte alikuwa amejiandaa kujilinda
zaidi.

Hii iliwapa nafasi wachezaji wa pembeni wa Manchester City kuwa wanashambulia.

Kuwaanzisha kina Moses na Zappacosta kungesaidia kuanzisha
mashambulizi ya kushtukiza kupitia pembeni , pia ingewalazimu
wachezaji wa pembeni wa Manchester City kuwa na tahadhari ya wao
kupanda mara kwa mara .

Kante, Bakayoko hawa wote kiasili ni viungo wa ukabaji , jana walianza
wote kwa pamoja. Kitu ambacho kiliwalazimu muda mwingi Chelsea wawe
eneo lao, hali iliyomfanya pia Fabregas kuwa anarudi chini kutafuta
mipira ambayo alikuwa haipati , mwisho wa siku Hazard pamoja na Morata
kuonekana kama wametengwa.

Hali iliyomfanya Hazard kutotengeneza hata nafasi moja ya goli.

Pigo kubwa kwa Conte lilikuwa kuumia kwa Morata, mfungaji wako bora
anapoumia kwenye mechi muhimu kama hii na kibaya zaidi unakuwa huna
chaguo sahihi la kuziba pengo lake.

Conte alimwingiza Willian, maana yake kubwa ya kwanza ni kuifanya timu
ianze kukabia mbele. Hivo alibaki kwenye ile ile akili ya kujilinda
zaidi, nilitegemea Conte kumwingiza Batshuayi mchezaji ambaye ana goli
4 mechi mbili zilizopita lakini hakumwamini.

Otamendi na Stones walikaba nafasi kwa kiasi kikubwa hali
iliyosababisha kina Hazard, Willian kutokuwa na nafasi ya kushuti
katika eneo la karibu na kumi na nane ya Manchester City.

Pengo la Aguero lilionekana wazi tena kwa kiasi kikubwa kuna wakati
Gabriel Jesus alishindwa kupambana kwa kutumia nguvu na mabeki wa kati
wa Chelsea hasa hasa kwa mipira ya juu.

Christienne alionesha ukomavu mkubwa jana licha ya umri wake kuwa
mdogo, alionesha yuko tayari kupambana na wakubwa.

Kwa ushindi wa jana Manchester City inaonesha wanabiashara ya muhimu
msimu huu wanataka kufanya, mechi ya pili hii wanashinda dhidi ya timu
kubwa, mechi ya kwanza ilikuwa dhidi ya Liverpool.

By [email protected]

Report

Written by Martin

Martin Kiyumbi ni mchambuzi wa habari za michezo na mbunifu wa maudhui.

Martin Kiyumbi amewahi kufanya kazi za uchambuzi kwenye vituo mbalimbali vya habari kama Tanzaniasports (tovuti ya habari za michezo ), Jembe FM , Radio Free Africa na TVE.
Martin Kiyumbi anapatikana kwenye e-mail ya [email protected]

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote
Tanzania Sports

Jonas Mkude: Pambana na Hali Yako!

Tanzania Sports

Jürgen Klopp: KUNA HAJA YA KUZUNGUMZA NA NAFSI