I have been involved with sports in Tanzania as a Volleyball Coach for many years—and was a Tanzania Amateur Volleyball Association (TAVA) leader. I studied sports management at Leipzig University in Germany and understand the science behind sports. That led me to work as a football pundit, with the BBC ( Swahili service) in London. That experience and exposure took me to covering the 2010, World Cup in South Africa. This provided me with a great insight into international level football commentary and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics.I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany, Italy, Belgium, Ireland, France, Kenya etc, and visited almost all of the key football stadiums across United Kingdom, and Europe.
Watu wote tupo hivyo, kitu ulichokuwa unakifanya zamani kwa kupenda, ukikiona tena basi lazima hisia zirudi. Umenikumbusha shughuli za uvuvi nilizokuwa nazipenda utotoni!
Wengine fani hiyo ndio inatuweka mjini, siku moja moja uwe uanjikumbushia kaka si vibaya
Bennet…..Nakuheshimu sana kwa kazi unayofanya.Mimi niliwahi kuibiwa kichwa cha fisi pale Ilipokuwa KAMATA, Fisi aliuma watu kule Dodoma vijijini, nikaenda kumkata fisi kichwa kisha nikahifadhi kwenye formalin na glycerin ili kukipeleka CVL kwa uchunguzi basi nilipofika Dar…nitaendelea siku nyingine na hii hadith ya kichwa cha fisi, iliyoandikwa sana magezetini na kutangazwa Redioni…..(AHPC 86 Tengeru)