byIsrael Saria322 ViewsComments Off on PSPF yatoa msaada wa viti
Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, (kulia), akipeana mikono na baadhi ya wanafunzi wanaosoma kwenye kituo hicho wakati akiwakabidhi viti
Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, akipeana mikono na Mkuu wa Kituo cha Walimu, Mbagala, Bi.Fausta B.Luoga, wakati akimkabidhi msaada wa viti kwenye kituo hicho jijini Dar es Salaam leo Januari 29, 2016. Kituo hicho kinatumiwa na Walimu zaidi ya 1500, na wanafunzi 55. Wanaoshuhudia ni Afisa Masoko na Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta Mnyamani (wapili kushoto) na Balozi wa Mfuko huo, Bw. Mrisho Mpoto.
Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem(aliyesimama), akitoa hotuba yake muda mfupi kabla ya kukabidhi msaada huo wa viti. Wengine kutoka kushoto, ni mkuu wa kituo hicho Bi. Fausta B.Luoga, mwakilishi wa Afisa Elimu wa Wilaya ya Temeke, Bw.Gasper Ltimo, na Balozi Mpoto.
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, na Afisa Masoko na Mahusiano wa Mfuko huo, wakiwasalimia wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbagala
I have been involved with sports in Tanzania as a Volleyball Coach for many years—and was a Tanzania Amateur Volleyball Association (TAVA) leader. I studied sports management at Leipzig University in Germany and understand the science behind sports. That led me to work as a football pundit, with the BBC ( Swahili service) in London. That experience and exposure took me to covering the 2010, World Cup in South Africa. This provided me with a great insight into international level football commentary and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics.I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany, Italy, Belgium, Ireland, France, Kenya etc, and visited almost all of the key football stadiums across United Kingdom, and Europe.