in

Thoughts About Tanzania Sports



>



Give us Your Thoughts About Tanzania Sports in General by commenting bellow.

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote

Comments

Leave a Reply
  1. Hi Bro,
    Just a quick message to congratulate you.
    I read about you recently and I am very impressed with your efforts to make changes in our beloved Tanzania.
    May God give you strenght in doing his Goodwill.
    Have a great week ahead.
    Jessica.

  2. HI brother,
    tanzania tunaweza kuendelea katika soka kam tu waTZ,watakapo pata ufunuo wa kuachakuabudu shetani wawili wa mpira wa miguu hata nchini SIMBA na YANGA
    2.UWEKEZAJI WENYE TIJA KWENYE SOKA LA VIJANA NA SIO USANII
    3. ELIMU KWA VIONGOZIwenye uwezo na nia ya dhati kabisa , mfn tenga
    4.KALENDA YENYE MALENGO (MPANGILIO WA MAMBO KWA MWAKA Sio tuishi kamahatumo duniani kuona wenzetu wanapnga vipi mambo
    5.tuache fitna ambazo hazina maslahi wala msaada wowote zaidi ya kudidizimiza soka letu
    kocha ahakikiwe kama anafanya kazi ipasavyo sio kulea au kuogopaa , maximo analipwa kodi yetu
    SIJAWAHI KUSIKIA UKIMYA MKUBWA KAMA WA SISI WATANZANIA KUHUSU MAENDELEO YA KAZI YA KOCHA WA VIJANA TINOCO,Yaani miaka wiwili inakatika hakuna cha maana hatuulizi? hana kikosi halafu mshahara kama kawa, sisi tunaona poa tu ,tutaendelea vipi ikiwa tunafanya usanniii kwenye msingi wa soka la vijana?????????????

  3. HI brother,
    tanzania tunaweza kuendelea katika soka kam tu waTZ,watakapo pata ufunuo wa kuachakuabudu shetani wawili wa mpira wa miguu hata nchini SIMBA na YANGA
    2.UWEKEZAJI WENYE TIJA KWENYE SOKA LA VIJANA NA SIO USANII
    3. ELIMU KWA VIONGOZIwenye uwezo na nia ya dhati kabisa , mfn tenga
    4.KALENDA YENYE MALENGO (MPANGILIO WA MAMBO KWA MWAKA Sio tuishi kamahatumo duniani kuona wenzetu wanapnga vipi mambo
    5.tuache fitna ambazo hazina maslahi wala msaada wowote zaidi ya kudidizimiza soka letu
    kocha ahakikiwe kama anafanya kazi ipasavyo sio kulea au kuogopaa , maximo analipwa kodi yetu
    SIJAWAHI KUSIKIA UKIMYA MKUBWA KAMA WA SISI WATANZANIA KUHUSU MAENDELEO YA KAZI YA KOCHA WA VIJANA TINOCO,Yaani miaka wiwili inakatika hakuna cha maana hatuulizi? hana kikosi halafu mshahara kama kawa, sisi tunaona poa tu ,tutaendelea vipi ikiwa tunafanya usanniii kwenye msingi wa soka la vijana????????????? mtz mwenye uchungu

  4. Asante sana kwa kazi nzuri unayoifanya hapa Israeli. Michezo ni sector ambayo inasaidia sana kuweka jina la nchi kwenye ramani ya dunia. Tafadhali endelea na kazi hii nzuri unayoifanya. Siku moja na sisi nchi yetu itasikika pande zote za dunia kimichezo. We all support you..

    Kate

  5. mimi nakushukuru sana bro kwa kuwa na kiu ya maendeleo ya michezo hasa katika taifa letu, na ninajuwa pia juhudi zako zinaleta mabadiliko makubwa siku baada ya siku. endelea kuhamasisha na ninaamini mafanikio yapo au kama hayapo kwa sasa, basi yanakuja.. big up bro!
    tupo pamoja.

  6. Pole sana na kazi ndugu yangu,mimi ni mtanzania mwenzio naishi Mkoa wa Rukwa katika Wilaya ya Mpanda. Nilikuwa sijawahi kuingia katika web site yako (tanzaniasports .com. ) Leo hii nimeipata kwa kweli nakupongeza sana tena sana kwa kuitangaza nchi yetu ndani na nje ya tanzania maana kuna wengi hawaifahamu tanzania iko wapi. Umeeleza vivutio vinavyopatikana nchini kwetu,utamaduni wetu na mambo kadha wa kadha, kwa kweli hongera sana. Nakutakia kila lakheri katika shughuli zako na endelea na juhudi yako katika kuitangaza nchi yetu upande wa michezo hasa mpira wa miguu ipo siku na sisi tutakuwa na wachezaji wa kulipwa huko ulaya. Byeee.

  7. ebwana tz sports mpo juu juu zaidi,haswa kwa kazi mzuri inayofanywa na taifa stars,naipenda nchi yangu hata kama nipo ugenini(U.S.A)najivunia kuwa mtanzania,big up

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading…

0

All About Tanzania

Mainland to field four teams in Rwanda