in

Niliwahi kuwa bwana mifugo miaka ya nyuma huko nyumbani. Kila nionapo wanyawe hawa wazuri, kumbukumbu yangu inanirudisha Tengeru chuo cha Mifugo.

Laughter is the best cosmetic…. so grin and wear it!

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote

Comments

Leave a Reply
  1. Watu wote tupo hivyo, kitu ulichokuwa unakifanya zamani kwa kupenda, ukikiona tena basi lazima hisia zirudi. Umenikumbusha shughuli za uvuvi nilizokuwa nazipenda utotoni!

  2. Bennet…..Nakuheshimu sana kwa kazi unayofanya.Mimi niliwahi kuibiwa kichwa cha fisi pale Ilipokuwa KAMATA, Fisi aliuma watu kule Dodoma vijijini, nikaenda kumkata fisi kichwa kisha nikahifadhi kwenye formalin na glycerin ili kukipeleka CVL kwa uchunguzi basi nilipofika Dar…nitaendelea siku nyingine na hii hadith ya kichwa cha fisi, iliyoandikwa sana magezetini na kutangazwa Redioni…..(AHPC 86 Tengeru)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading…

0

World Cup 2010: Scouting for talent

World Cup 2010: Rio Ferdinand ‘out of England squad’