in

Hivi kweli unafikiri nini mpaka unakunya nje ya ofisi za watu..tena ulaya..London!

Leo asubuhi ilikuwa ni zamu yangu kufungua ofisi mapema ili wafanya usafi waanze kazi(6:00am). Cha ajabu ni kukuta KIMBA hili nje ya mlango mkuu wa kuingilia kwa ofisi, nikajiuliza labda ni Ng’ombe au Punda, lakini hapa London mifugo haitembei mitaani kama huko nyumbani..kwa vyovyote vile huyu ni binadamu!, kikubwa zaidi ni ukubwa wa hili kimba yaani inasikitisha sana..lakini habari nzuri aliyefanya hivi ni raia tena sio kama mimi..yaani ustaarabu ni jinsi ulivyojifunza toka kwenu na sio unakoishi!

Posted by Picasa

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote

Comments

Leave a Reply
  1. alikuwa mwizi nini maana nimewahi kusikia kuwa mwizi akija kuiba anakunya mavi mlangoni, kisa ni kwamba waliopo ndani hawataamka. Lakini sasa hapo ni ofisini, hakuwa na choo kwake au aliishiwa pesa za kuingiliwa chooni na sijui alijitawaza na nini? Najiuliza pia sijui alikula nini na kiasi ganmi?….Kaazi kwelikweli. Pole sana kwa kuchafuliwa hapo mlangoni.

  2. Kutokana na U-WINGI wa “mzigo” huo, naweza kuhisi kuwa mtu huyu hakuwa na mazoea ya kufanya hivyo, bali ALIZIDIWA.
    Gosh!!!! Kama tembo?
    Lakini bado swali larejea kuwa kama alivimbiwa na kuzidiwa ni kwanini alikula kiasi hicho?
    Alikuwa anakomoa mchango wake wa harusi aliotoa>
    Yote juu ya yote, ali-miss step

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading…

0

Coach names Stars` line-up

Spurs can win the Premier League, says William Gallas