Menu
in

Taifa Stars mpya yatangazwa..Ngasa ndani!

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Marcio Maximo leo ijumaa ametangaza kikosi cha wachezaji 28 cha timu ya taifa ya Tanzania tayari kujianda kwa michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Congo DRC utakaochezwa May 9 hapa jijini Dar salaam  na New Zeland hapo june 3 2009 hapa hapa jijini Dar es salaam.

wachezaji hao ni Goal Keepers

Shabaan Dihile (JKT Ruvu) na Ali Mustapha (Simba)

walinzi wa pembeni

Shadracka Nsajigwa (Yanga),Erasto Nyoni (Azam FC), Juma Jabu (Simba),Stephano Mwasika (Moro United) na Abu Ubwa toka African Lyon

walinzi wa kati kati

David Naftali (Simba) , Nadir Haroub Canavaro (Yanga),Salum Sued (Mtibwa Sugar) na Kelvin Yondan (Simba)

Medfield

Henry Joseph (Simba), Nurdin Bakari (Yanga),Shaban Nditi(Mtibwa Sugar),Jabir Azizi (Simba),Kigi Makasi (Yanga),Mwinyi Kazimoto (JTK Ruvu) , Nizar Khalfan (Moro United) na Razak Khalfan (Yanga Under 20)

Forwards

Mrisho Ngassa (Yanga), Danny Mrwanda (Al- Tadhamon – Kuwait),Jerry Tegete (Yanga), Mussa Hassan Mgosi (Simba) Zahoro Pazzi (Mtibwa Sugar) na John Boko (Azam Fc)

wachezaji wengine ni hawa ambao wanatoka kikosi cha timu ya under 20 nao ni Hassan Peter  Msham (Tanzania Prisons ya Mbeya UNder 20),Furaha Yahya Tembo (JKT Ruvu Under 20) na Himid Mao (Azam Fc Under 20)

vigezo vya kuitwa timu ya Taifa zilivyodhingatiwa na kocha Maximo ni Well Displin,Professionalism,age.performance,commitment,Sel image and Patriotism (Respect the National Flag and Country)

Pia kocha Maximo amewatema kwenye kikosi hicho wachezaji watatu mahili waliotofautiana nae kwenye michuano ya Chan huko Ivory Coast mwezi February 2009 nao ni Haruna Moshi (Boban) wa Simba,Amir Mafta na Athuman Idd (Chuji) ambao wanamatatizo ya nidhamu na haijulikani kama kocha huyo anaweza kuwaita tena kwenye kikosi chake

Pia amemtema kiungo  mkabaji wa Yanga Geofrey Bonni

Toka kwa Evance Mhando wa TBC

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

Leave a Reply

Exit mobile version