in

PSPF YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

Balozi  Ombeni Sefue, atembelea banda la PSPF
Balozi Ombeni Sefue, atembelea banda la PSPF

1: Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (kulia) juu ya shughuli mbalimbali za PSPF, wengine ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Utumishi) Bw. Habib Mkwizu (kushoto) na Bw. Joseph Lyimo, ambaye ni Afisa wa PSPF. Mheshimiwa Sefue alitembelea banda la PSPF katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Balozi

2. Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi juu ya shughuli mbalimbali za PSPF, kulia ni Michael Tarimo, Afisa wa PSPF. Mheshimiwa Sefue alitembelea banda la PSPF katika maonesho hya wiki ya Utumishi wa Umma yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Mbise
3. Bw. Max Mbise akitoa maelezo juu ya shughuli mbalimbali za PSPF kwa wateja waliotembelea banda la PSPF katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyamalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

njaidi 220

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi akitoa maelezo kwa mmoja wa wanachama wa PSPF waiotembelea banda la PSPF katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyamalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Report

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

What do you think?

71 Points
Upvote Downvote

Enyeama, Keshi kitimoto

TFF YAFUNGUA KOZI YA MAKOCHA WA VIJANA