Menu
in ,

Ni Arsenal tena……

Arsenal

Kwangu mimi Arterta ameonyesha ubora wa kufanya kazi kwenye michezo mikubwa.

Unaweza ukawa nahodha ila usijue nini kinafanya kazi kuwa mwalimu.

Chelsea walikuja na 3 4 2 1 bila kujua nini kinahitajika kuifunga Arsenal, walikuja na basics zaidi….

Arterta amekuja na idea nzuri ku-mprovoke Lampard si alimuona ametumia walinzi watatu kwa mechi kadhaa.

Kwenye 3 4 3, Lacazette alicheza kama false 9 kumvuta Zouma eneo la kati zaidii , Maintland Niles akaambiwa amvute ndani zaidi James Reece acheze kama kiungo , Pepe akawa anarudi nyuma upande wake kumvuta Rudiger achelewe kurudi kwenye eneo la boksi.

Tanzania Sports
mabingwa wa FA

Aubameyang akawa analengwa, upande mmoja na Azpilicueta

Na jinsi ya kumfika Aubameyang ni kuanza mashambulizi nyuma kuatract ( high presssing ) ukabaji eneo la juu Jorginho Kovacic nao wakawa wanapada na Pepe akawa ana drop zaidi upande wake na Rudiger kujikuta anapress jui zaidi na hivyo kumuacha Azpilicueta.

Hata alipotoka Azpilicueta hamna mabadiliko yoyote kwa mbinu za Arterta , Lampard alishidwa kabisa kugundua kuwa amertagetiwa upande mmoja.

Kuhusu waaamuzi, mimi siamini ukiperfom kwenye kiwango cha hali ya juu mwamuzi ataenda against wewe .

Huyu Arterta ndo yule alimuambia Lampard mimi na macho januari pale Emirates, Stamford bridge akamuambia mimi najua management zaidi, leo amemuambia kichwa chako kinabidi kifanye kazi mara moja ukichelewa umeisha?

Written by Israel Saria

For the last 20 years I have been working as a football pundit. This experience has provided me with a very useful insight into football and the opportunity to carry out extensive research into the game including its players, the stadiums, the rules and tactics and I have also been grateful to meet a wide range of people connected to football in the UK, Tanzania, Germany .....

Leave a Reply

Exit mobile version