Charles Hilary (Nkwanga) akiwa na mchambuzi wa masuala ya soka katika kipindi cha ulimwengu wa soka cha BBC, Bi Nisha Ligon. Pamoja nao ni Ali saleh. hapa ni Bush House Club. hii ni baada ya kazi.Here you'll find all collections you've created before.
ni safi kukutana na marafiki baada ya kazi na kupeana mawili matatu. Na bila kusahau moja baridi..lol